Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman Sopu kwa ada ya uhamisho ya Tsh Milioni 100 kwa mkataba wa miaka miwili. Awali Simba SC ilitajwa kupanda dau kufikia Tsh milioni 120 lakini walionekana kuchelewa baada ya Wanalambalamba kuwazidi kete.@simbasctanzania @azamfcofficial JfiveSports
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed